Level 1 Level 3
Level 2

Connectors


34 words 0 ignored

Ready to learn       Ready to review

Ignore words

Check the boxes below to ignore/unignore words, then click save at the bottom. Ignored words will never appear in any learning session.

All None

Ignore?
baada ya
after
kabla ya
before
katikati ya
in the middle of
kando ya
next to
hivi karibuni
soon
kwa nia ya
with the intention of
mapema
early
wakati wa
time for
kati ya
between (choosing)
badala ya
instead of
karibu na
near
lazima
must
chini ya
under
juu ya
on top of
wala
nor
kisha
then
hivyo basi
therefore
kwa hivyo
therefore
ni wakati wa kuimba
it's time to sing
pika nyama kabla ya kula
cook meat before you eat
kondoo wangu yuko kando ya ngombe
my sheep is next to the cow
tulikula baada ya kutoka dukani
we ate after we came from the shop
alisafisha jikoni kabla ya kupika chakula
she cleaned the kitchen before cooking food
nakaa katikati ya Nairobi
I live in the middle of Nairobi
walienda kanisani kwa nia ya kumsifu Yesu
they went to church to praise Jesus
alilala mapema
she slept early
kati ya wasichana na wavulana, unapenda wepi?
Between girls and boys, which do you like?
benki iko karibu na posta
the bank is near the post office
sipendi kahawa wala chai
I don't like coffee nor tea
hapendi kuimba wala kucheza
she doesn't like singing nor playing
kabla ya kula lazima huombe
before eating we must pray
simu iko juu ya meza
the phone is on top of the table
kati ya embe na paipai unapenda nini?
between mango and papaya, which do you like?
tutapumzika baada ya kunfanya kazi
we will rest after doing work